Tazama utajiri wa Davido akiwa na miaka 22 tu, Hakuna Bongomovie au Bongoflava anaemkaribia

GadoTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
370
Reaction score
636
Msanii Davido mwenye umri wa miaka 22 aina ubishi kwa sasa ni mmoja ya wasanii matajiri wakubwa kwa Afrika na nchini mwake Nigeria. Anamiliki Jet binafsi, gari za kifahari na mijengo ya maana.
Tazama hapa mjengo wake, usafiri na pamba.

 
Ras jeff huu ni ushauri mujarabu kabisa.kwa pande zote.
 
Wow! Hayo ni mafanikio uanayofundisha kuwa na malengo marefu kwa kila mtu. Hapa bongo wasanio wetu wasiige melody tu Bali na siri za mafanikio kutoka kwa wengine. Sio jina likisikikavsana tu mtu anadhani ndo katika, anakusanya lundo la madem na michomo ya sindano
 
yuko vizuri ila la kumiliki private jet nina mashaka nalo.
 
Davido ni familia bora.pesa za muziki ni nyongeza tu.
 
Hiyo miaka 22 mpaka leo haijapanda tu toka 2012 sjui 2013 anamiaka 22 wabongo bwana na taarifa xao
 
eti mikel obi hajafikisha miaka 25 hadi leo....nakumbuka akina nwanko kanu.
 
Level gani hata kuandika hujui? Uliona wapi jina linaanza na herufi ndogo?

Hebu kajambe huko.

Hhhhaaaa yaan matola siku hiz unanivunja mbavu taratibu bwanaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…