Huyu demu Bongo bahati mbaya tu, angekuwa huko kwenye soko la huu muziki saa hizi angekuwa anamiliki dola milioni kadhaa.
Mnaosema hamumwelewi huyu manzi nakubaliana na nyinyi, lakini kwa ushauri tu, endeleeni kusikiliza Zanzibar Modern Taarab, acheni ukuda.