Watu wengine walitaka kuona hii video wanachadema na vyama vingine walivyoungana kumpokea Rais hii inaonyesha kuwa yale maridhiano yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu yameanza kufanya kazi.
Kuna watu wengine pia wamesema kuwa kutokana na kazi kubwa aliyoifanya Rais Samia Suluhu ile Shahada aliyotunukiwa Rais Dr. Samia Suluhu ni halali maana amefanya kazi kubwa ya kutuunganisha pamoja na siku zote huwa anasisitiza tuungane kwasababu tunaijenga Tanzania moja hongera sana Rais Samia Suluhu kwa kufanikisha hili Maendeleo haya chama.