Machadema yanamuunga mkono mama ili kumkomoa marehemu na sukuma gangHizi hadaa zinawasaidia nini nyie maccm? Kuwavisha wanachama wenu nguo za chadema na bendera huo ni utoto na ushamba
Hizo siasa za kipuuzi tunawaachia wenyewe Sukuma Gang na Msoga Gang mumalizane sisi tuna wazoom tu. Marehemu yuko zake jehanam anapokea kibano chake hatuna time na wafu sisiMachadema yanamuunga mkono mama ili kumkomoa marehemu na sukuma gang
Nawe umeingia hili chaka la uniform za CDM 🤣🤣🤣🤣View attachment 2433529
Watu wengine walitaka kuona hii video wanachadema na vyama vingine walivyoungana kumpokea Rais hii inaonyesha kuwa yale maridhiano yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu yameanza kufanya kazi.
Kuna watu wengine pia wamesema kuwa kutokana na kazi kubwa aliyoifanya Rais Samia Suluhu ile Shahada aliyotunukiwa Rais Dr. Samia Suluhu ni halali maana amefanya kazi kubwa ya kutuunganisha pamoja na siku zote huwa anasisitiza tuungane kwasababu tunaijenga Tanzania moja hongera sana Rais Samia Suluhu kwa kufanikisha hili Maendeleo haya chama.
Tofautisha chawa na mzalendo mzee mimi ni mzalendo nikiona siasa haijageuzwa kuwa uadui nafurahi sana inatakiwa wote tumuone Rais Samia Suluhu kama kiongozi wa wananchi wote na sio kiongozi wa chamaNiliwasema chawa wa ccm majuzi moderators wa jamiiforum wakanipiga ban. MDOMO KOMA.
Hao ni Chadema og mzee Rais Samia Suluhu alitutaka tuungane na sasa tumeungana kuijenga Tanzania mojaHizi hadaa zinawasaidia nini nyie maccm? Kuwavisha wanachama wenu nguo za chadema na bendera huo ni utoto na ushamba
Hakuna cha kukomoa hapo Chadema wanajua Rais ni wa watanzania wote na sio Rais wa chama kwahiyo wana sababu nyingi sana za kuungana kumpokea Rais Samia SuluhuMachadema yanamuunga mkono mama ili kumkomoa marehemu na sukuma gang
Hakuna muigizaji mzee Rais Samia Suluhu anapenda wananchi wake tuwe wamoja
CHADEMA watrngeneze sare nyingi,hiyo ni fursa kibiashara,kwasababu sare zitanunuliwa na wana-CHADEMA halisi na wana-CCM wanaoigiza kua ni CHADEMA.
Umetumia nini kuwaza uliyoandika hapa unaonekana hauna akili kabisa maana ata wewe utakufaHizo siasa za kipuuzi tunawaachia wenyewe Sukuma Gang na Msoga Gang mumalizane sisi tuna wazoom tu. Marehemu yuko zake jehanam anapokea kibano chake hatuna time na wafu sisi
Hivi kwenye mikutano ya chama A, bendera za chama B zinaruhusiwa? Kama ndiyo, hao wa chama A si wanaweza wakaingia na bendera za chama B huku wakijidai kuwa cha B kinaunga mkono chama A???View attachment 2433529
Watu wengine walitaka kuona hii video wanachadema na vyama vingine walivyoungana kumpokea Rais hii inaonyesha kuwa yale maridhiano yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu yameanza kufanya kazi.
Kuna watu wengine pia wamesema kuwa kutokana na kazi kubwa aliyoifanya Rais Samia Suluhu ile Shahada aliyotunukiwa Rais Dr. Samia Suluhu ni halali maana amefanya kazi kubwa ya kutuunganisha pamoja na siku zote huwa anasisitiza tuungane kwasababu tunaijenga Tanzania moja hongera sana Rais Samia Suluhu kwa kufanikisha hili Maendeleo haya chama.
Kumbuka ule haukua mkutano wa chama bali yalikua maadhimisho ya UKIMWI duniani it means yanamlenga kila mtanzania na sio ccm na Rais Samia Suluhu alienda pale kama mgeni rasmiHivi kwenye mikutano ya chama A, bendera za chama B zinaruhusiwa? Kama ndiyo, hao wa chama A si wanaweza wakaingia na bendera za chama B huku wakijidai kuwa cha B kinaunga mkono chama A???
Hivi Mwigulu si aliwahi kumvisha mbwa bendera ya CHADEMA? Kwa hiyo leo wpte wamekuwa MBWA?
Rubbish, hao ni UVCCM wamevalishwa mavazi ya chadema na napeView attachment 2433529
Watu wengine walitaka kuona hii video wanachadema na vyama vingine walivyoungana kumpokea Rais hii inaonyesha kuwa yale maridhiano yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu yameanza kufanya kazi.
Kuna watu wengine pia wamesema kuwa kutokana na kazi kubwa aliyoifanya Rais Samia Suluhu ile Shahada aliyotunukiwa Rais Dr. Samia Suluhu ni halali maana amefanya kazi kubwa ya kutuunganisha pamoja na siku zote huwa anasisitiza tuungane kwasababu tunaijenga Tanzania moja hongera sana Rais Samia Suluhu kwa kufanikisha hili Maendeleo haya chama.
Bora kukosa akili kuliko kukosa marinda,aliyekufokoa hadi kukutatua marinda kakuweza kweli kweli bwege wewe.Umetumia nini kuwaza uliyoandika hapa unaonekana hauna akili kabisa maana ata wewe utakufa