Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,033
- 723
Picha za ziada na chanzo hapo chini. Hongera Jamal Malinzi
HARAKATINEWS BLOG: Viwanja vya Golf kwa Rais wa TFF Jamal Malinzi Wilayani Missenyi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malinzi family!
Matola ni vyema ukaongelea jambo ambalo una uhakika nalo.Acha kudanganya watu ni Dioniz Malinzi na ndio mwenye cash anamiliki kampuni ya Cargo star.
acha kudanganya watu ni dioniz malinzi na ndio mwenye cash anamiliki kampuni ya cargo star.
Mkuu hapa ulikurupuka tu daah!@Malinzi kaweka mambo sawaAcha kudanganya watu ni Dioniz Malinzi na ndio mwenye cash anamiliki kampuni ya Cargo star.
Kwa mtu anayefuatilia uonekanaji wako publicly na hata kwenye mitandao ya kijamii atakubaliana nami kuwa wewe ni aina ya watu tunaowaitaji katika kutukwamua kutoka tulipo. Sina maana sababu ya pesa au madaraka yako lakini kwa jinsi unavyoweza kujieleza na kujibu hoja bila kujali unajibizana na nani ili kuweka mambo sawa. Angelikuwa mtu mwingine angelisema "achana naye tu huyo..." lakini umemjibu kiungwana na ambaye haelewi atakuwa ameelewa. A kind of needed humility!Matola ni vyema ukaongelea jambo ambalo una uhakika nalo.
Hizo picha hapo juu ndipo mimi nilipozaliwa na kukulia pamoja na kaka yangu Dioniz na ndugu zangu wote.For some reasons ambazo sina haja ya kuzizungumzia hapa wazazi wetu baba na mama (Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi) hawakuzikwa hapa na ndio maana familia ikaamua kupaendeleza kama unavyo paona.Taratibu za uendeshaji wa familia yetu kabla na baada ya wazazi wetu kufariki si suala la kuzungumzia hapa jf.
Ahsante.
Hongera kwa "initiative". Ni kwa ajili ya golf club fulani au kwa matumizi ya biashara family kufanyia mazoezi na kujiburudisha?
ahsante nashukuruHongera sana Malinzi
Matola ni vyema ukaongelea jambo ambalo una uhakika nalo.
Hizo picha hapo juu ndipo mimi nilipozaliwa na kukulia pamoja na kaka yangu Dioniz na ndugu zangu wote.For some reasons ambazo sina haja ya kuzizungumzia hapa wazazi wetu baba na mama (Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi) hawakuzikwa hapa na ndio maana familia ikaamua kupaendeleza kama unavyo paona.Taratibu za uendeshaji wa familia yetu kabla na baada ya wazazi wetu kufariki si suala la kuzungumzia hapa jf.
Ahsante.
![]()
![]()
![]()
![]()
Picha za ziada na chanzo hapo chini. Hongera Jamal Malinzi
HARAKATINEWS BLOG: Viwanja vya Golf kwa Rais wa TFF Jamal Malinzi Wilayani Missenyi
Dah, yaani saa nyingine ukishayaona haya manguo ya rangi hizi hata kama mtu kafanya jambo jema unalilink nayo. Inapendeza lakini....
Badala awachimbie maji ya visima wananchi wamshukuru anajenga viwanja vya gofu si bora angekarabati viwanja vya mipira ktk shule za sekondari na msingi
Malinzi family!
Dah, yaani saa nyingine ukishayaona haya manguo ya rangi hizi hata kama mtu kafanya jambo jema unalilink nayo. Inapendeza lakini....