TAZARA: Safari ya Treni ya abiria ya Express iliyopangwa kuondoka Dar kwenda Mbeya Ijumaa tarehe 6/9/2024 saa 9.50 yaahirishwa

TAZARA: Safari ya Treni ya abiria ya Express iliyopangwa kuondoka Dar kwenda Mbeya Ijumaa tarehe 6/9/2024 saa 9.50 yaahirishwa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
KUAHIRISHWA KWA TRENI YA ABIRIA YA EXPRESS

Uongozi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) inasikitika kuwatangazia abiria na umma kwa ujumla kuwa treni ya abiria ya Express iliyopangwa kuondoka Dar es Salaam kwenda Mbeya siku ya Ijumaa 6 September 2024 saa 9.50 alasiri , treni hiyo sasa itaondoka siku ya Jumamosi tarehe 7/9/2024 saa 9.50 alasiri.

Mabadiliko haya yametokana na ucheleweshaji uliojitokeza wa safari za awali kati ya Dar es Salaam na Mbeya hali iliyosababishwa na maswala mbalimbali ya kiufundi, kiasi Cha kuathiri ratiba za treni zilizofuata.

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza na tunashukuru kwa uelewa na uvumilivu wenu, tunapojitahidi kutatua changamoto hizi za kiufundi.

Kwa msaada na taarifa tafadhali wasiliana na

Regina Tarimo,
AFISA UHUSIANO
0754373291
 
Wanajifanyia kazi kwa mazoea, ili mradi wao mwisho wa mwezi wanakunja chao mfukoni, basi hawajali.
 
Back
Top Bottom