TBC 1. Eutelsat W2A (10°E),

kilimahewa

Member
Joined
Aug 20, 2009
Posts
5
Reaction score
0
:angry:Wandugu
please kuna channel 2 za kitanzania zinapatikan katika Eutelsat W2A (10°E),TBC 1 na channel 10. kwa sasa zaonekana ni za kulipia. je ni taratibu gani za kupata smart card?

nashukuru
 
Nenda TBC wana wachina wameungana nao wanaitwa Star Media
 
ahsante sana je una contact zao. sababu niko dubai.nje ya nchi
 
Pia TBC1 wanapatikana kwenye Eutelsat W3A (7E)
11005 H 44341, 7/8
 
kwa hapa nilipo siipati kabisa.iko mbali.kwangu nilikuwa napata uzuri katika Eutelsat W2A (10°E),lakini sasa imekuwa scramble.nahitaji nipate jinsi ya kuwasiliana ili hata nilipie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…