Azam Tv na Sportpesa (kampuni za kamari) ni maji na mafuta.Hivi kwa nini haikuonyeshwa Azam TV. Niliiangalia kupitia Tanzania channel ile ya wanyama. Kwa kweli haikuonekana vizuri.
Hivi kwa nini haikuonyeshwa Azam TV. Niliiangalia kupitia Tanzania channel ile ya wanyama. Kwa kweli haikuonekana vizuri.
Hawakuwa na copyrights tu mkuu ya kuipeperusha mechi hewani na Sportpesa wanafanya marketing ya kampuni yao bado haijakuwa kubwa sana na haijawafikia wengi.Azam Tv na Sportpesa (kampuni za kamari) ni maji na mafuta.
Porno bila sauti hainogiMbona Porno mnatazama bila sauti na mnaelewa.
Basi wasingeonesha mechi za simba na yangaSportpesa ni mchezo wa kamari na Azam huwa wanajinasibu kutofungamana na wacheza kamari kwa sababu hiyo ni dhambi kwa mujibu wa imani yao. Hujagundua tu hata yale mashindano ya kila mwaka ya sportpesa huwa hawaoneshi kupitia channel zao isipokuwa zile tu chache za kwenye decoder zao.
Basi wasingeonesha mechi za simba na yanga
Kiufupi wanajichanganya sana tu. Ingekuwa ni Tv Imaan au Tv Tumaini wangeeleweka.
Kiherehere kilikupeleka TBC? Umekipata ulichokuwa unakitafuta. Wakati unaenda kuwasha chaneli yako ulituambia? Ugulia kimya kimya.Tarehe 23/05/2019 mlionesha mechi ya kabumbu baina ya Simba SC Vs Sevilla FC ya Hispania.
Mlichofanya ni uhuni & ubabaishaji. Hakukuwa na jambo lolote linaloendana na mechi ya kabumbu; hakuna matangazo kama mtaionesha, hakuna uchambuzi wala sauti wakati wa mechi. Mechi imeonesha kibubububu tu.
Mkurugenzi mwenye PhD akiwa ni mhadhiri unatia aibu kubwa. Hii mechi mungewaachia tu Azam waioneshe.
TBC ndo sababu hamna waangaliaji kisa ubabaishaji. Mbadilike
Nimesema!
Bazazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Imetosha, usiku mwema bro.Mbona Porno mnatazama bila sauti na mnaelewa.
Azam hawawezi kurusha mechi hizo hata mkurugenzi akiwa mtoto wa Bhakresa.Hawakuwa na copyrights tu mkuu ya kuipeperusha mechi hewani na Sportpesa wanafanya marketing ya kampuni yao bado haijakuwa kubwa sana na haijawafikia wengi.
Wangerusha Azam wasingewafikia watu wenye Startimes, Zuku n.k
Kumbuka mkurugenzi wa sportpesa ni muislamu Abbas Tarimba mtu wa masoko ambaye namkubali sana ni Kelvin Twisa anajua kucheza na hizi mambo
Azam waache mambo zao watajiharibia.. Mbona wao wanauza energy drinks ambazo kiafya zina athari?Azam Tv na Sportpesa (kampuni za kamari) ni maji na mafuta.
Azam wanatafuta hela mkuu usiwe mbishi.Azam hawawezi kurusha mechi hizo hata mkurugenzi akiwa mtoto wa Bhakresa.
Mimi nilidhani ni TV yangu!, Kumbe walikuwa wanashindwa kutaja majina ya wachezaji wazungu!.Tarehe 23/05/2019 mlionesha mechi ya kabumbu baina ya Simba SC Vs Sevilla FC ya Hispania.
Mlichofanya ni uhuni & ubabaishaji. Hakukuwa na jambo lolote linaloendana na mechi ya kabumbu; hakuna matangazo kama mtaionesha, hakuna uchambuzi wala sauti wakati wa mechi. Mechi imeonesha kibubububu tu.
Mkurugenzi mwenye PhD akiwa ni mhadhiri unatia aibu kubwa. Hii mechi mungewaachia tu Azam waioneshe.
TBC ndo sababu hamna waangaliaji kisa ubabaishaji. Mbadilike
Nimesema!
Bazazi
Ila kukwepa kodi Bandari kavu wanaweza.. Unafiki unafiki unafikiAzam hawawezi kurusha mechi hizo hata mkurugenzi akiwa mtoto wa Bhakresa.