TBC acheni fake news, acheni michezo ya kitoto!

Intelligence yetu inaendeshwa na watu inept
 
Hii sinema Bora wangempa hata stive Nyerere TU maana wamefeli pakubwa
Hizo propaganda uchwara hao TBCCM!
 
Ati wana pinga katiba mpya, lakini wamevaa nguo za katiba mpya. [emoji872][emoji102][emoji102]Ccm akili zao zina watosha wenyewe.
 
CCM inaiogapa cdm kuliko cdm inavyoiogopa ccm. Hiyo ndo akili ya akina Shaka, nae kaanza akili za polepole.
 
Sijuwagi akili za hawa watu zipo nyakati gani!!
sijuwi kwa nini wana penda kunya na kujipaka mavi yao wenyewe!
Kitu kingine ni kuwa serikali ya Samia nayo inatia aibu, imeanza kuongoza nchi kwa uongouongo. Hizi propaganda za kutengeneza, za kuchukua vijana wengine wa CCM na kuwavisha uniform za Chadema ni utoto.
 
Ukiona press yoyote ya upinzani(CHADEMA) hakuna figisufigisu na fitina za polisi au serikali chunguza mara mbili maana CHADEMA na polisi Tanzania ni kama kinyesi na nzi. Kwanza TBC haina habari za mashiko maana wao wanajua habari za kusifia tu lakini sio kuonyesha upande wa changamoto za wananchi
 
Hakuna TV hapo
 
Akili ya Diwani athumani ndipo ilipoishia hapo, huwa najiuliza inakuaje hadi hii leo anakalia kile kiti cha ukurugenzi?
Mkuu unakanyaga kitufe cha hatari.
Huyo anahusika vipi na maigizo ya CCM?

Kama haupo nje ya nchi hiki ulicho andika hapa ni kualika matatizo maishani mwako.

Kuna watu walilewa sifa wakaanza kuwashambulia hata wasio wanasiasa mwisho walijikuta wanatengeneza maadui wenye nguvu kubwa sana na rasilimali za kuweza kuwatengenezea jehanamu hapa duniani (hell in earth)....
 
Halafu walivyokuwa brainless, wanapinga KATIBA MPYA wakiwa wamevaa tishirt zenye neno KATIBA MPYA 💪
 
T
TBC ni comedians!
 
Ukweli ni kwamba juhudi za CHADEMA zimeanza kuzaa matunda.

Kinachotakiwa sasa ni kwa CHADEMA kuanza kuvuna matunda haya na kuyatumia vizuri kumaliza kazi ngumu waliyoianza.

Hiyo kazi ya TBC ni kama wanawafanyia kazi CHADEMA sasa, kwa sababu kazi hizo za uongo haziwezi kufichika, na ni rahisi kwa wananchi kuziona na kujua ukweli wake ni upi.

Wananchi wanapotambua wazi kwamba wanaambiwa uongo na serikali yao, CHADEMA wanataka wapewe zawadi gani zaidi ya hiyo!
Watafute tu njia nzuri za kuyatumia matukio ya aina hii na kuyafikisha kwa wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…