tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Naangalia mechi ya Taifa Stars vs Algeria kupitia TBC, cha ajabu na cha aibu move muhimu hazifanyiwi replay yoyote kwa faida ya watazamaji.
Hii ni aibu kwa television ya Taifa kuzidiwa na Television binafsi ya Azam ambayo ina ubora Mara 100 zaidi.
Wahusika mmesikia na Tafadhali kodi zetu zitumieni vizuri.