tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
aibu snaaaaaaaaaaaaaa na haiingi akilini
TBC wamechoka kutoka ZBC
Mkuu reply haina cha unachukua wapi, so long as frequency zinapita kwenye mitambo yako, reply unafanya tu.
Jaribu kuelewa usiilamu TBC wao wamelink tu, ZBC ndio wanawachanganya picha.
Umeeleweka sana, reply maana yake ni mrudio wa tukio, ni kweli TBC wamechukua ZBC, lakini so long as unayapokea mawimbi katika mitambo yako, reply unaweza ukaifanya wewe mwenyewe ukiamua bila hata kusubiri main supplier akufanyie reply, lakini kama una wataalamu vilaza, basi hiyo kwako itakuwa kusingizio tu. Kumbuka hakuna matangazo yanayokwenda public bila kuwa recorded, kwa hiyo reply ni maamuzi yako wewe mwenyewe.
Hata hivyo hata hao ZBC nao ni Shirika la Umma, kama walishindwa kufanya reply, nao ni wale wale tu.
Hata hao ZBC wamelink.
Mkuu uelewa wako uko safi lakini?

sio reply,halafu usiwe kchwa ngumu,ukchukua live huwez kufanya hzo njonjo,unawaachia kule unakochukulia