Tbc error thread (uzi wa michemko ya televisheni ya taifa)

Tbc error thread (uzi wa michemko ya televisheni ya taifa)

Didia

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
719
Reaction score
260
Tangu kuondolewa Tido Muhando kila siku habari za TBC zimejaa makosa ya kipuuzi. Mara habari ikwame, mara utangulizi uliotolewa utofautiane na habari inayo onyeshwa, mara wakosee herufi katika maneno yanayo pita chini ya luninga n.k. Mimi binafsi nachukizwa sana na makosa haya ya kijinga achilia mbali UTBCCM.

Sasa wapendwa ilikuwasaidia TBC kujirekebisha naomba kila siku habari ikisomwa tupost makosa ili chombo hiki kione jinsi gani kimesheheni viraza

Nikianza na Taarifa ya habari ya jana, 2/01/2012 saa mbili usiku. Neno dereva katika uzi wa maneno lilisomeka DEREVZA
.....makatibu wakuu wameahidi kufuata za utumishi wa umma .....
 
MWananyati

Today 20:52
#1
Senior MemberArray


Join Date : 3rd February 2011
Posts : 90
Rep Power : 266


[h=2]
icon1.png
TBC mmezidi sasa!hata hesabu ndogo inawashinda?[/h]
Hawa TBC saa ingine huwa nashindwa kuwaelewa. Mara kwa mara huwa nawasikia wakisema wanaonekana kwa njkia ya setelaiti hadi nchi za magharibi za marekani na ulaya n.k.
Ila inaonekana waandaaji wa taarifa ya habari hawako makini na baadhi ya vitu.
kwa mfano leo wakati wanasoma taarifa ya nauli za kigamboni wakasema kuwa watu wanalalamikia ongezeko hilo hasa upande wa maguta. Nauli yake imepanda toka 200 hadi 1800 shilingi. Waliponiacha hoi ni pale waliposema hili ongezeko ni la asilimia 80! tena wamerudia mara mbili, na hata mtangazaji anaonekana kutogundua chochote.​


 
Back
Top Bottom