Didia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 719
- 260
Tangu kuondolewa Tido Muhando kila siku habari za TBC zimejaa makosa ya kipuuzi. Mara habari ikwame, mara utangulizi uliotolewa utofautiane na habari inayo onyeshwa, mara wakosee herufi katika maneno yanayo pita chini ya luninga n.k. Mimi binafsi nachukizwa sana na makosa haya ya kijinga achilia mbali UTBCCM.
Sasa wapendwa ilikuwasaidia TBC kujirekebisha naomba kila siku habari ikisomwa tupost makosa ili chombo hiki kione jinsi gani kimesheheni viraza
Nikianza na Taarifa ya habari ya jana, 2/01/2012 saa mbili usiku. Neno dereva katika uzi wa maneno lilisomeka DEREVZA
.....makatibu wakuu wameahidi kufuata za utumishi wa umma .....