TBC haikumtendea haki marehemu David Wakati

issenye

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
3,788
Reaction score
5,217
Jana ndio siku ambayo safari ya mwisho ya marehemu david wakati hapa duniani ilihitimishwa. Kwa kweli jinsi televisioni ya taifa ilivyoipa coverage hii safari, binafsi haikunifurahisha. Pamoja na kuwa marehemu aliwahi kuwa mkurugenzi wa rtd ambayo ndiyo iliyoizaa tbc.
 
Kuna Mambo Mengi ya Kuelimisha Jamii Yanatusubiri ambayo Kila siku Tunaona TBC Hawawatendei Haki wenye Kodi Zao!! Ila Kwa Hili Naona Hawa TBC hakuna baya lolote ambalo wametenda!! Kwani Huwezi Kufuta vipindi vilivyopo kwenye Ratiba na Kuanza kuweka coverage ya Msiba ambao hautakuwa na Manufaa yoyote kwa wale waliobaki Hai!!
 
Tbc siku hizi ni kitengo cha propaganda ndani ya sisiem! Hakuna wanachokifanya zaidi ya kueneza propaganda na upupu wa chama. Hakuna weledi tena bali ni utekelezaji wa maagizo! Period!
 
Mimi najiuliza TBC ilitakiwa ifanye nini? Wazike kamera zao na yeye Wakati? Kwani kuwa mfanyakazi ndo nini? Wangapi wamekufa na walifanya kazi huko?
 
No comment!
 

Pole sana, Me too. Sio siri TBC ni chombo hopeless kabisa kwa watz wa kawaida...toka TM awekewe zengwe kwa kufanya kazi yake ki-professional. Kwa kweli kila iitwayo siku quality ya Programing imekuwa ikishuka...imebaki ni TV ya kuwasifia watawala.
 
Una maana David Wakati ni mtu wa kawaida?
 
Una maana David Wakati ni mtu wa kawaida?
mkuu watu wana majibu very Rude.mtoa hoja alikuwa na maan nzuri tu kwa mtu wa aina yake na ukizingatia historia ya TBC alistahiki kupata coverage ya kumbukumbu ili hata wale kizazi kipya wasiomjua wamjue nawatambue mchango wake na hata pia kujifunza kutoka kwake
 
Kuna meeengi ya kupigania na hayapiganiwi.
kupanga ni kuchagua.
 
Naunga mkono hoja. Na ukizingatia wanavyozipa coverage harambee za kanisa ambazo Eddo(not Kumwembe) amehudhuria!
 
inawezekana misiba kipindi hiki ilikuwa mingi hivyo wakaona
itakuwa ngumu kuweka upendeleo kwa huyo mtu wao,
hata hivyo, R.I.P David Wakati.
 
Waambie harusi za watangazaji, dk 45!
RIP DW
 
Pole sana, Me too. Sio siri TBC ni chombo hopeless kabisa kwa watz wa kawaida...toka TM awekewe zengwe kwa kufanya kazi yake ki-professional. Kwa kweli kila iitwayo siku quality ya Programing imekuwa ikishuka...imebaki ni TV ya kuwasifia watawala.
Ninyi wavumilivu zaid ya yule mstaafu wa chama cha kijani.. Kumbe mpaka leo hii bado mnaangalia hao wapuuz wa tbc...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jamani tusimshambulie sana mzee wa watu!! Kama ameona anaweza kusaidia hata kwa njia hiyo si Vibaya. Ila ifahamike Mheshimiwa rais ndio mwenye mamlaka ya kumchagua mtu ambae anaona anamfaa katika kufanikisha malengo ya kuwaletea watanzania maendeleo!! Hata uwaziri rais ndio mwenye mamlaka ya kuchagua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…