TBC hiyo Wedi Cup vipi?

TBC hiyo Wedi Cup vipi?

FourTwoNet

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
1,236
Reaction score
2,512
Si juzi tu TBC wamepiga pang'ang'a mingi kwamba oooh, wanaonyesha wedi kapu....mbona tunaambulia kuona Muheshimiwa akifungua ma project ya mwendazake?

Halafu najipata nimeshikwa na hasira maanake sioni kama huyu mama anaelewa uhuni wanaotufanyia TANESCO

Yaani nimeacha kujivunia kwa mbongo, kazi ni kujivumilia kuwa mbongo. Hiyo ndio maana halisi ya "kazi iendelee".
 
Achana na TBC MKUU...ULITEGEMEA KABISAAA YAANI KABISAAA WAKO SIRIAS?
 
TBC wanaonesha mechi 2 au Moja tu Kwa siku kutegemeana na haki za matangazo. Kwa Leo wataonesha mechi ya France vs Australia a saa nne usiku tu. Kesho wataonesha Belgium vs Canada nayo ni saa nne usiku. Alhamis wataonesha mechi ya Cameroon ipo saa saba na mechi ya Ghana ipo saa Moja. TBC UKWELI NA UHAKIKA. Ni hizo zenye FTA ndo wanaonesha.
JamiiForums1989226493.jpg
 
TBC wanaonesha mechi 2 au Moja tu Kwa siku kutegemeana na haki za matangazo. Kwa Leo wataonesha mechi ya France vs Australia a saa nne usiku tu. Kesho wataonesha Belgium vs Canada nayo ni saa nne usiku. Alhamis wataonesha mechi ya Cameroon ipo saa saba na mechi ya Ghana ipo saa Moja. TBC UKWELI NA UHAKIKA. Ni hizo zenye FTA ndo wanaonesha.View attachment 2424253
Umetisha mzee.
 
Umeokoa jahazi mkuu, ahsante sana.
 
Tunaomba Family ndio ionyeshe zote. But not 56000.
 
Mwenye uzi huu ni miongoni mwa wasomi w taifa hili.
 
Back
Top Bottom