FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
Achana na TBC MKUU...ULITEGEMEA KABISAAA YAANI KABISAAA WAKO SIRIAS?Si juzi tu TBC wamepiga pang'ang'a mingi kwamba oooh, wanaonyesha wedi kapu....mbona tunaambulia kuona Muheshimiwa akifungua ma project ya mwendazake?
Halafu najipata nimeshikwa na hasira maanake sioni kama huyu mama anaelewa uhuni wanaotufanyia TANESCO
Yaani nimeacha kujivunia kwa mbongo, kazi ni kujivumilia kuwa mbongo. Hiyo ndio maana halisi ya "kazi iendelee".
Majamaa walifanya hadi promo na mabango...kila saa tangazo. Duh! Kweli unapigwa mwingi.Achana na TBC MKUU...ULITEGEMEA KABISAAA YAANI KABISAAA WAKO SIRIAS?
Ni baadhi ya mechi tu mkuu sio mechi zoteAchana na TBC MKUU...ULITEGEMEA KABISAAA YAANI KABISAAA WAKO SIRIAS?
Usikumbilie kuhukumu bila kuangalia masherit ya Television za taifa kwenye michezo hii zipoje. Hawaoneshi Kila mechi mkuuUpuuzi mtupu
Umetisha mzee.TBC wanaonesha mechi 2 au Moja tu Kwa siku kutegemeana na haki za matangazo. Kwa Leo wataonesha mechi ya France vs Australia a saa nne usiku tu. Kesho wataonesha Belgium vs Canada nayo ni saa nne usiku. Alhamis wataonesha mechi ya Cameroon ipo saa saba na mechi ya Ghana ipo saa Moja. TBC UKWELI NA UHAKIKA. Ni hizo zenye FTA ndo wanaonesha.View attachment 2424253
Umeokoa jahazi mkuu, ahsante sana.TBC wanaonesha mechi 2 au Moja tu Kwa siku kutegemeana na haki za matangazo. Kwa Leo wataonesha mechi ya France vs Australia a saa nne usiku tu. Kesho wataonesha Belgium vs Canada nayo ni saa nne usiku. Alhamis wataonesha mechi ya Cameroon ipo saa saba na mechi ya Ghana ipo saa Moja. TBC UKWELI NA UHAKIKA. Ni hizo zenye FTA ndo wanaonesha.View attachment 2424253
Tunaomba Family ndio ionyeshe zote. But not 56000.TBC wanaonesha mechi 2 au Moja tu Kwa siku kutegemeana na haki za matangazo. Kwa Leo wataonesha mechi ya France vs Australia a saa nne usiku tu. Kesho wataonesha Belgium vs Canada nayo ni saa nne usiku. Alhamis wataonesha mechi ya Cameroon ipo saa saba na mechi ya Ghana ipo saa Moja. TBC UKWELI NA UHAKIKA. Ni hizo zenye FTA ndo wanaonesha.View attachment 2424253
Comment za mlamba asali