Mikono yenye Sugu
Senior Member
- Jul 1, 2020
- 133
- 215
Imekuwa kawaida kwa TBC - ONE kufanya kazi ya "kusifu na kuabudu" mgombea fulani kati ya wengi waliopo kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi kiasi cha kukirihisha.
Imekuwa ile ya Korea Kaskazini inayofanya "personality cult" kwa kumfanya kiongozi wa nchi kuwa ndiye "mungu" jambo ambalo halifai katika ulimwengu iliostaarabika.
Wajaribu kuwa fair kwa wagombea wote ili nao (wahusika TBC) wasiwe wanaishi kwa kusutwa na dhamiri zao kwani imekuwa inatia aibu