Mikono yenye Sugu
Senior Member
- Jul 1, 2020
- 133
- 215
Kwa kweli namna wanavyompa hizo sifa, huyo mtu wao Jiwe, kumefikia hali ya kutia kinyaa na kuleta aibu kubwa kwa Taifa letuHiyo ni PRAISE & WORSHIP TEAM
ya bwana Mkubwa.
Wala sio TV ya Taifa.
Tbc ilikua ile ya Tido Mhando tu98% ya Wananchi wameidharau moja kwa moja TBC
Mbona unaandika pumba zako humu jfMbona na nyie mna mitandao ya kijamii huku mnatamba kwa upendeleo tena wa wazi wazi kabisa, na sisi pia tuna TBC yetu na vinginevyo, hivyo ngoma droo, nyie kaeni na mitandao yenu na sisi tuna TBC yetu, ...
Mbona unaandika pumba zako humu jf
maana umeleta malalamiko ya uongoOops, sasa moderator unataka kunipiga ban, eeh?
maana umeleta malalamiko ya uongo
TV ya ovyo duniani, watanzania wanojitambua hawaangalii..upumbavu huo hata siku mmojaImekuwa kawaida kwa TBC - ONE kufanya kazi ya "kusifu na kuabudu" mgombea fulani kati ya wengi waliopo kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi kiasi cha kukirihisha.
Imekuwa ile ya Korea Kaskazini inayofanya "personality cult" kwa kumfanya kiongozi wa nchi kuwa ndiye "mungu" jambo ambalo halifai katika ulimwengu iliostaarabika.
Wajaribu kuwa fair kwa wagombea wote ili nao (wahusika TBC) wasiwe wanaishi kwa kusutwa na dhamiri zao kwani imekuwa inatia aibu
TBC hovyo kabisa na wanatia aibu taifa hili.Imekuwa kawaida kwa TBC - ONE kufanya kazi ya "kusifu na kuabudu" mgombea fulani kati ya wengi waliopo kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi kiasi cha kukirihisha.
Imekuwa ile ya Korea Kaskazini inayofanya "personality cult" kwa kumfanya kiongozi wa nchi kuwa ndiye "mungu" jambo ambalo halifai katika ulimwengu iliostaarabika.
Wajaribu kuwa fair kwa wagombea wote ili nao (wahusika TBC) wasiwe wanaishi kwa kusutwa na dhamiri zao kwani imekuwa inatia aibu
vipi yule aliyeomba jukwaani kusuguliwa bado hajapata mtu wa kumpiga paipu ?Tbc inatangaza kiulewedi
TBC huwezi kukuta ikitangaza mambo ya ushoga