TBC Inachangia kushusha kiwango cha uzalendo

Mbona na nyie mna mitandao ya kijamii huku mnatamba kwa upendeleo tena wa wazi wazi kabisa, na sisi pia tuna TBC yetu na vinginevyo, hivyo ngoma droo, nyie kaeni na mitandao yenu na sisi tuna TBC yetu, ...
- TBC, Channel ten, Tazama, Tanzanite, Hoja, Radio Uhuru, Uhuru Gazeti, Habari leo, Daily News, WAKURUGENZI, Viongozi wa Dini, TISS, Mabeyo, Bunge, Msajili wa vyama, Basata, NEC, WASANII BONGO MOVIE na Bongo Fleva,TCRA, POLICE, Uhamiaji n.k

Lakini bado mnapata TABU MNOOOOOOOOO!!!

Shida nini ???!!
 

Hakuna anayepata tabu, labda wewe sisi tuko pouwa kabisa, ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…