Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Jana tumeona TBC Taifa wametoa habari ya Usalama Kazini na kuwahoji vijana wanaofanya kazi barabara ya Mwenge hadi Morocco.
Vyombo vingine tulijulishwa na wafanyakazi fulani wiki iliyopita lakini baada ya kufuatilia tukakuta kuwa ni harakati za vurugu kupinga kupunguzwa kazi maana mradi ndio unakwisha.
Sijui TBC wameingiaje mkenge huo kwa kushirikiana na watu ambao kimsingi wanachochea vurugu.