TBC kiko wapi kipindi cha kishindo ya awamu ya sita?

Tuzidi kupiga kazi tusonge mbele mengine tuachane nayo kila Zama zinabadilika kutokana na hali
 
Awamu ya 6 haina kishindo chochote!

Kama hadi mitambo ya hapo bandarini inatukbukia kwenye maji kuna kishindo gani hapo?

Luku tu imetulaza watu giza siku 5 kuna kishindo gani hapo?

Kama sekta nyeti ya TRA network inakatika kutwa nzima kuna kishindo gani hapo?

Makusanyo ya mwezi huu ni bilioni 300 tu.
 
weeeee 😳 😳
 
Ni swali hili. Kipindi cha Hayati kulikuwa na Kipindi cha kishindo cha awamu ya tano. Sasa mbona hamkiendelezi kwenye hii awamu ya Sita? Shida nini!?
Si mnasemaga mama yenu anatakiwa kuanza upya! aachane na miundombinu ya Magufuli

Mnalilia lia nini Tena
 
Ni swali hili. Kipindi cha Hayati kulikuwa na Kipindi cha kishindo cha awamu ya tano. Sasa mbona hamkiendelezi kwenye hii awamu ya Sita? Shida nini!?
Tulia bana.

Kishindo kitakuja na sio lazima kiwe kwa jina hilo.

Ila sasa ni mda ambao mama bado anapanga timu yake kishindo hakiwezi kusikika.
 
Back
Top Bottom