TBC: Kombe la Dunia tutaonesha Full HD

TBC: Kombe la Dunia tutaonesha Full HD

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Sie watazamaji yetu macho, ngoja tuone kama kutakuwa na ukweli au sound kama ilivyo desturi yao.
0DA99110-0E94-433A-9F37-B2A17BE8719A.jpeg
 
Machaneli kibao yanaonesha world cup...hawajanipata bado
 
Dakika ya 35' Mpendwa Mtazamaji, tunalazimika kukatisha matangazo kujiunga na wenzetu waliopo viwanja vya Chimwaga kwa ajili ya matangazo ya mkutano mkuu wa CCM ambapo Rais wa JMT ni mgeni rasmi.
Wamepata nafas ya kumpigia kampeni Hangaya,

Tena unaweza Kuta DK YA 5 tu wanaweka ule wimbo wa Komba "Hatunywi sumu hatunyongi ccm numbari Wani" ovyo kabisa hao watu.
 
Back
Top Bottom