Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Huu ni weledi gani kwa TBC?
Iweje mtumie matukio ya Simba kuhusianisha na ushirikina?
Mmekosa namna bora ya kuwasilisha habari yenu bila kuitaja Simba?
Bila shaka mtalifanyia kazi na kuwahoji walioandaa na kuitoa habari hiyo. Ni lazima watakuwa na vinasaba vya utopolo.