Makamba katuharibia chama. Yaani hapa angekuwepo Nyang'wine, pangechimbika kati yake na Waitara wa Chadema. Na hii midahalo ina effect kwenye campign hizi, sijui nani katuroga jamani!
makamba katuharibia chama. Yaani hapa angekuwepo nyang'wine, pangechimbika kati yake na waitara wa chadema. Na hii midahalo ina effect kwenye campign hizi, sijui nani katuroga jamani!
========Hapa aliharibu sana tu, kwa nini hawa waamini wagombea wao?
=====Hapa aliharibu sana tu, kwa nini hawa waamini wagombea wao?
========
Wagombea wanajiamini lakini viongozi wanaogopa na hawatoi uhuru kwa wagombea wanaopenda kwenda kudahala waende. Leo hapo Lumumba nusura ngumi zipigwe kwenye simu.