USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Yupo Mzee Wasira, Majid Mjengwa, Hamadi Rashidi. Muongozaji ni Dkt. Ayub Rioba.
Karibuni sana
Updates....
Soma Pia: Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
Sasa mitandao ya kijamii inatumika kusambaza imani za kishirikina. Nilifarijika sana Makamu wa Rais Dkt. Mpango (Phillip) alipozungumza juzi kwenye moja ya shughuli za kiimani, akieleza kuwa baadhi ya waumini na viongozi wa kiimani wanatumia nyumba za ibada kuwatapeli watu, na kufanya vitu vinavyosababisha wengine kujiua. Watu wanatoa pesa na mali zao, na hatimaye wanabaki maskini. Moja ya sababu ya watu kujiua (au kuua wengine) inaweza kuwa hiyo,
USSR
Karibuni sana
Stephen Wasira
Rais Samia Suluhu Hassan amesema tufanye uchunguzi wa vitendo vya utekaji, nami nakubaliana naye kuwa tuchunguze. Na tukichunguza, Watanzania watatuuliza uchunguzi huo umetupa majibu gani,"Soma Pia: Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa na Diplomasia.
Mmomonyoko wa maadili unachangia hali hii tuliyonayo kwa sasa. Wanasema kwamba tunaweza kuhangaika sana sasa kujaribu kujenga jamii bora, lakini kama jamii siyo bora, inazalisha watu waovu, na viongozi na watu wanaofanya vitendo hivi wanatoka katika jamii hiihii. Hivyo basi, tunatakiwa kuwekeza kwenye maadili ili kuwa na jamii bora baadaye, na tutaondokana na vitendo viovu,Sasa mitandao ya kijamii inatumika kusambaza imani za kishirikina. Nilifarijika sana Makamu wa Rais Dkt. Mpango (Phillip) alipozungumza juzi kwenye moja ya shughuli za kiimani, akieleza kuwa baadhi ya waumini na viongozi wa kiimani wanatumia nyumba za ibada kuwatapeli watu, na kufanya vitu vinavyosababisha wengine kujiua. Watu wanatoa pesa na mali zao, na hatimaye wanabaki maskini. Moja ya sababu ya watu kujiua (au kuua wengine) inaweza kuwa hiyo,
Hamad Rashid, Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC).
Nilizungumza mapema hapa kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani, na ni kisiwa ambacho kimedumu kwa miaka 60 katika hali ya amani. Tusifikirie kwamba kila mtu anapenda hali hii tuliyo nayo, wawe wa ndani au wa nje. Wengi hawapendi, na hata likitokea jambo dogo, litakuzwa kuwa kubwaUSSR