Tbc mnatia kinyaa katika medani za michezo

Tbc mnatia kinyaa katika medani za michezo

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Inasikitisha shirika la tbc mnashidwa kuonyesha mpira mnakalia maojiano na Sakirojo chambua wakati supersport,Kbc, wanaonyesha mpira wa ivory cost na rwanda nyie mpo katika mahojiano huo ni upuuzi kwa karne hii.
 
mkuu Tz bado sana, maendeleo yetu yapo kwenye midomo na kwenye makaratasi lakini sio vitendo
 
Back
Top Bottom