KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Nov 28, 2010 #1 Inasikitisha shirika la tbc mnashidwa kuonyesha mpira mnakalia maojiano na Sakirojo chambua wakati supersport,Kbc, wanaonyesha mpira wa ivory cost na rwanda nyie mpo katika mahojiano huo ni upuuzi kwa karne hii.
Inasikitisha shirika la tbc mnashidwa kuonyesha mpira mnakalia maojiano na Sakirojo chambua wakati supersport,Kbc, wanaonyesha mpira wa ivory cost na rwanda nyie mpo katika mahojiano huo ni upuuzi kwa karne hii.
PingPong JF-Expert Member Joined Dec 21, 2008 Posts 926 Reaction score 160 Nov 28, 2010 #2 mkuu Tz bado sana, maendeleo yetu yapo kwenye midomo na kwenye makaratasi lakini sio vitendo
A Alfu Lela Ulela JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,255 Reaction score 77 Nov 29, 2010 #3 TBC wamelewa sifa na madaraka kwa kuendekezwa na serikali.