Saa 6 mchana unaacha shughuli zako unaangalia bunge la chama kimoja lisilo na msaada wowote kwa wananchi!?,huna kazi za kufanya!?,halafu unalalamika kuondoka kipindi kwenye TV hadi unakimbilia kuanzisha thread!?.., kwa style hii acha tuendelee kusindikiza wengine tu.