jT0078
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 272
- 256
Nataka kujua kama leo mtaonyesha mechi ya Brazil na Serbia itakayochezwa saa nne usiku. Maana hamna ratiba kamili mechi zipi mtaonyesha!
Kwa sisi tusiyokuwa na DStv tulifarijika baada kuona mnaonyesha Kombe la Dunia, changamoto haijulikani mechi zipi mmepanga kuonyesha.
Kwa sisi tusiyokuwa na DStv tulifarijika baada kuona mnaonyesha Kombe la Dunia, changamoto haijulikani mechi zipi mmepanga kuonyesha.