TBC mtaonyesha mechi ya leo saa nne usiku?

jT0078

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
272
Reaction score
256
Nataka kujua kama leo mtaonyesha mechi ya Brazil na Serbia itakayochezwa saa nne usiku. Maana hamna ratiba kamili mechi zipi mtaonyesha!

Kwa sisi tusiyokuwa na DStv tulifarijika baada kuona mnaonyesha Kombe la Dunia, changamoto haijulikani mechi zipi mmepanga kuonyesha.
 
Ndio usijali
 
Hiyo haitaoneshwa, inaoneshwa hii ya mchana na Ile ya Ghana ya saa Moja tu
 
Ombi kwa uongozi wa JF nadhani ni wakati sahihi kuanzisha jukwaa la vyombo vya habari na watangazaji manake threads zinazohusu watangazaji na vyombo vya habari ni nyingi sana humu cc maxence mello
 
Ombi kwa uongozi wa JF nadhani ni wakati sahihi kuanzisha jukwaa la vyombo vya habari na watangazaji manake threads zinazohusu watangazaji na vyombo vya habari ni nyingi sana humu cc maxence mello
Sure. Pia jana kaibuka dogo fulani asiyejitambua kaanzisha Uzi, eti anauliza mechi ya Germany Vs Japan itachezwa saa ngapi? Nonsense!
Akili kidogo ya kuingia JF na bando analo, lakini kuulizia ktk net muda gani mechi itachezwa akili NO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…