TBC mtaonyesha mechi ya leo saa nne usiku?

Ndiyo, tutaonesha!
 
Queen, usipende kuhangaika sana na watu kama huyu mleta thread!
Yaani mtu anaanzisha thread kwa ajili ya vitu visivyokuwa na kichwa wala miguu.
Jamaniiii nimechekaaaa, [emoji119]
Hakuna namna Dunia ina kila jambo tuishi tu humo humo
 
Na kule dstv mpaka uwe na elfu 56 ndio utaziona mechi zote
 
Mkuu bisha kwa ushahidi. Kuna uzi humu mdau kaongelea suala hilo
Ni kweli kaongelea na mimi nimetizama lakini hakuna kitu kama hicho,ushahidi ni kwamba hiyo channel wanaonyesha mahubiri
 
Mkuu umeunganisha quote isiyohusika na hio channel. Hio channel haipo dstv so sijaona uhusiano wa hio quote na yangu
Ni kweli kaongelea na mimi nimetizama lakini hakuna kitu kama hicho,ushahidi ni kwamba hiyo channel wanaonyesha mahubiri
 
Kuwa muelewa basi wanaolipia 23000,30000 hawaoni mechi zote. Sijui unachobishia hapa ni kipi
Kwa DStv ni kweli wanaonyesha na mimi nimenunua jana na enjoy soccer 😁😁😁
 
Kuwa muelewa basi wanaolipia 23000,30000 hawaoni mechi zote. Sijui unachobishia hapa ni kipi
Tizama mpira huo acha malumbano,pitia comments na quotes zang itakuwa hatujaelewana sehem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…