SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyo anataka liandike habari za Slaa na mikutano yake. Ila hajafungua gazeti la Mwananchi na TZ Daima kuweka bias kama hiyo hiyo hapo juu. Anataka anavyotaka yeye, sivyo wanavyotaka wao.
Wewe ukisoma Daily News unasoma habari za Richmond, Chadema na CCM tu? Inawezekana ndiyo maana mnakuwa too local in thinking. Fungua daily news kwenye ma-news juu ya ma-news yaliyopanda juu, kurasa za business news na sports international; uncomparable in East Africa. Hizi habari za Chadema, CCM, richmond, Silaha (slaa) unaweza zipata hata kule kwenye udaku; uwazi et al. (Shigongo).
Mbona TBC wanatangaza mambo ya CHADEMA? acha uongo wako
Mag3,
Hiyo DAILY NOISE ni gazeti ambalo lilitakiwa lisifungamane na upande wowote lakini halifanyi hivyo. Mhariri wake anajikomba kwa CCM.
Kama ulivyosema, no ammount of bootlicking will stop this tsunami. Gazeti la Tanganyika Standard halikuweza kumzuia Mwalimu asitukomboe. Hili la Daily News ambalo ni mrithi wake halitaweza kumzuia Slaa asitukomboe toka makucha ya CCM.
Maombi yangu kwa WANACHADEMA wa Dar ni kwamba wajipange kisawasawa wampe Mpendwa wetu Dr. Slaa mapokezi ya nguvu atakaporudi. Na asirudi bila maandalizi ya mapokezi makubwa kufanyika.
Hiyo DAILY NOISE ni gazeti ambalo ..........
Mpaka lini sisi wananchi tutaendelea kufumbia macho vitendo hivi vya ukiukwaji wa haki na upendeleo wa wazi wazi wa hivi vyombo vinavyoendeshwa kwa kodi zetu ?
Hilo la raisi wetu matarajiwa Dr.Slaa walilitangaza wapi na muda gani? Nyamungo tuhabarishe labda wenzio tuliupitiwa!
Wewe lazima utakuwa ndiye DERE NYUZI MKUBWA...........Wewe ukisoma Daily News unasoma habari za Richmond, Chadema na CCM tu? Inawezekana ndiyo maana mnakuwa too local in thinking. Fungua daily news kwenye ma-news juu ya ma-news yaliyopanda juu, kurasa za business news na sports international; uncomparable in East Africa. Hizi habari za Chadema, CCM, richmond, Silaha (slaa) unaweza zipata hata kule kwenye udaku; uwazi et al. (Shigongo).