Tbc na mashndano ya cecafa

Tbc na mashndano ya cecafa

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Ninavofahamu mie ajira ya utangazaji tbc ulizingatia sana ueledi, sasa nashangaa kuona katika mashindano haya ya cecafa tbc kwenye tv yao wanaandika "kilimanjaro" badala ya tanganyika au tanzania bara (ambayo haipo duniani). Haya mashindano ni ya kuhusu nchi za afrika mashariki sasa hawa tbc watueleze hiyo nchi ya kilimanjaro ipo wapi???????
Agh inaudhi sana tbc.
 
Back
Top Bottom