TBC na Serikali mnaishusha hadhi na heshima ya Mwakinyo

Zambotti

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
1,973
Reaction score
3,643
Hiki kinachoendelea hapa TBC juu ya pambano la Mwakinyo sijui tukiite kitu gani. Mambo yako ovyo ovyo. Eti wapiganaji wa mapambano ya utangulizi ni wabunge, na spika juu tena kakimbia pambano dah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu hawo watangazaji wanapiga kelele tu,
Mwanga wenyewewe hafifu, yaan hela kitu kingine!
 
Keisha kapanda kutoa burudani, maiki haifanyi kazi. Anaimba nyimbo nyengine dj anaweka nyengine yaani ni full mkanyagano hapa
 
Hivi walikosa vijana ambao wangetuma hii platform kuwatambulisha kweli. Full ovyo
 
Mnawezaje kutazama TBC na kuja kualalamika??
Hamna channels zingine kwenye ving'amuzi vyenu?

Au mmeshikiwa bunduki kutazama TBC??
 
Yaani now dstv natazama juventus Vs Napoli ..we unatazama TBC??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…