Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
kwa mara nyengine tbc yaitia kapuni habari ya maandamano udom, je sisi hatuna haki? Wajameni aarrrghhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uliangalia kweli tbc habari vizuri hiyo jana? kwa taarifa yako hadi kwenye muhtasari wao waliisoma na picha zikaonyeshwa!cha ajabu habari haikusomwa..je kama hawajaipata utajuaje?mbona tunapenda kusema vitu vya uongo?hizi ni tabia ambazo si za kisomi