Elections 2010 Tbc na upepo wa mageuzi

Mtembezi

Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
43
Reaction score
0
Mbona tbc hamsomi upepo?naona mnatangaza tu sehemu ambazo mabosi wenu wameshinda.mnaogelea kinyume na mkondo wa maji shauri yako tido mhando
soma wakati ukutani
 
we mwache andelee kuchelewa kusoma alama za nyakati
 
Hivi kuna uchaguzi uliojaa zengwe kama huu!?
 
ya tido mengi angalia anavyomwangaisha Mengi ,penda watu kwa kushawish wanaahabari wake, hiyo TV anaifanya yake arudi BBC hapa ataibika
 
Achana na Tido kwani licha ya kuwa mwanaCCM ni best wa JK, hivyo analazimika kumpamba best yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…