Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
TBC wenyewe wnasemaje?Wakati wa Utawala wa Magufuli ilikuwa ni kawaida kuyasikia TBC wakimtangaza Mtawala Muda wote Alipo na kutoisikia TBC ikitangaza Habari na Matukio ya Vyama vya Upinzani Watanzania hatukushangaa kwani AMRI ilikuwa ya MAGUFULI TU Leo Tupo Awamu ya 6 bado TBC Wanaendelea na Kutokutangaza Habari na MATUKIO ya Vyama vya UPINZANI Je kuna Mgomvi au Ni Agizo la MTAWALA? TBC ni Chombo cha UMMA kinaendeshwa kwa Kodi za Watanzania Wote bila kujali Vyama vyao Tafadhali kitende HAKI kwa VYAMA VYOTE
Ryoba naye hajifunzi kwa kina Kangi Lugola, MAKONDA,Chalamila,na SABAYA,Anafikili hicho cheo ni Cha milele.TBC ni tawi la CCM hivyo kamwe hawata tangaza mambo ya upinzani labda Ryoba afe!
Wanasema bado wanaogopa kivuli Cha mwenda zakeTBC wenyewe wnasemaje?
Hajifunzi hata kwa Bashiru kabla ya kuteuliwa kuwa katibu mkuu wa CCM alikuwa na hoja za kujenga sana lakini baada ya kuwa katibu mkuu wa CCM akaota mapembe, sasa anajuta!Ryoba naye hajifunzi kwa kina Kangi Lugola, MAKONDA,Chalamila,na SABAYA,Anafikili hicho cheo ni Cha milele.