Maswali ya kujiuliza
-Mtangazaji yuleyule mmoja siku zote ila wachambuzi tofauti ...Je hao wachambuzi nao wamesafiri hadi Qatar?
-Mechi zinachezwa kwenye viwanja na miji tofauti tofauti....inawezekanaje mtangazaji huyohuyo kutangaza mechi zote kwa siku
-Wachambuzi kuchambua matukio kama penati n.k. kwa kutumia "replay" za TV
Siamini kabisa kama kweli matangazo ya radio TBC yanaruka mojakwamoja kutoka Qatar kama TBC Radio wanavyotaka kutuaminisha.
Nawasilisha