Haha..watu hawana jema??Mmepewa hisani ya kuona WC, tulieni muangalie..
Matangazo Live yako Dstv, unaweza yatizama.
Nazungumzia Radio (TBC Taifa na TBC Fm) sio Televisheni.....elewa topicMmepewa hisani ya kuona WC, tulieni muangalie..
Matangazo Live yako Dstv, unaweza yatizama.
πππππMmepewa hisani ya kuona WC, tulieni muangalie..
Matangazo Live yako Dstv, unaweza yatizama.
Sisi tunapenda vya bure ngoja tuendelee kuburudika na wakati mwingine kuumia....unapenda vya bure eeh, lipia dstv bwashee
Sisi tunapenda vya bure ngoja tuendelee kuburudika na wakati mwingine kuumia....
Ila aliyesema vya bure ni ghali hakukosea. Mfano kuna mechi ambazo unapenda zisikupite, halafu ndio hawazionyeshi. Wakati mwingine chaneli yao inapata kifafa.... inaweza kupoteza network kwa dakika kadhaa.........
Chawa kama chawa nakuonaMubashara kutoka Qatar
Kweli kabisa, tena mechi ile tamu ya Senegal na Ecuador! Hovyo kabisaKama jana usiku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tbc
usiku wapi Qatar au Tanzania mbagala??? unachekesha ujueee, au unafikiri kila mtuu yupo mbagala???Kama jana usiku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tbc
usiku wapi Qatar au Tanzania mbagala??? unachekesha ujueee, au unafikiri kila mtuu yupo mbagala???