Mpira uliochezwa ni wa singida vs prisons, matokeo yanaonyesha ni mpira wa YANGA vs Simba lakini logo zilizopo kwenye majina ya team siyo za team zenyewe.[emoji23]Mpira uliochezwa ni wa singida vs prisons, matokeo yanaonyesha ni mpira wa YANGA vs Simba lakini logo zilizopo kwenye majina ya team siyo za team zenyewe.
Sisi tunaamini TBC ni chombo Cha habari Cha kitaifa na kina waandishi wa habari waliobobea kwenye taaluma ya uandishi wa habari. Sasa ni vitu gani hivi wanaripoti kwa wananchi? Hii inadhihirisha TBC kumejaa vilaza na haipaswi kuitwa channel ya Taifa? Hizi ndizo habari za uhakika na ukweli? Hii ndo TBC ya Nape anayotaka tuiamini? Hatari sana!
View attachment 2725414
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
HAWA WATU WANAKULA KODI ZETU ZA BURE.
Mv spice INAZAMA wao wanaonyesha TAARABU.
AIBU YAO.
Huku Sasa ndo kutafuna jongoo Kwa Meno.Mpira uliochezwa ni wa singida vs prisons, matokeo yanaonyesha ni mpira wa YANGA vs Simba lakini logo zilizopo kwenye majina ya team siyo za team zenyewe.
Sisi tunaamini TBC ni chombo Cha habari Cha kitaifa na kina waandishi wa habari waliobobea kwenye taaluma ya uandishi wa habari. Sasa ni vitu gani hivi wanaripoti kwa wananchi? Hii inadhihirisha TBC kumejaa vilaza na haipaswi kuitwa channel ya Taifa? Hizi ndizo habari za uhakika na ukweli? Hii ndo TBC ya Nape anayotaka tuiamini? Hatari sana!
View attachment 2725414
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
CCM ILISHAFELI KOTE MPAKA LITIBISII LAOMpira uliochezwa ni wa singida vs prisons, matokeo yanaonyesha ni mpira wa YANGA vs Simba lakini logo zilizopo kwenye majina ya team siyo za team zenyewe.
Sisi tunaamini TBC ni chombo Cha habari Cha kitaifa na kina waandishi wa habari waliobobea kwenye taaluma ya uandishi wa habari. Sasa ni vitu gani hivi wanaripoti kwa wananchi? Hii inadhihirisha TBC kumejaa vilaza na haipaswi kuitwa channel ya Taifa? Hizi ndizo habari za uhakika na ukweli? Hii ndo TBC ya Nape anayotaka tuiamini? Hatari sana!
View attachment 2725414
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Alikuwa mwalimu wa chuo huyo. Kichwani amejaza nadharia tu ubunifu aupate wapi.Ayoub Rioba ubunifu wake ni mbungi mtonyo .. Hakuna jipya alilolifanya pale TBC