TBC taifa na matangazo ya mpira(Kashasha)

Kashasha bhana...hana tofauti na tatu mzuka 'kwako Jese John'
 
Jesse! Pasi aliyoitoa Tshitshimbi tunaiita "Straight wave pass" pasi ya moja kwa moja yenye mawimbi.
Ni pasi ambayo adui hawezi kuizuia. Inahitaji mazoezi ya hali ya juu Jesse.
Tshitshimbi ni rolling mid field. Amepiga straight wave pass ikamkuta Ajib kajipozishen kwenye 75 angle degrees,Akaturn left na kuachia kombora( block burster) bahati mbaya mpira umegonga besela,la sivyo lingekuwa bao moja zuri sana. Kwako Jesse!
 
Kwa hili nakubaliana nawe.Lakini hata yule jamaa wa WAYA, WAYA,WAYA...kutoka pale big brand TV station(currently) anajitahidi kwa mbwembwe.
 
Ahsante Jesse! nilisema mwanzoni kama back line ya lipuli haitabadilika wataruhusu magoli mengi,alichokifanya AJIBU pale amepiga LEON PASS ambayo imemfikia OBREY CHIRWA akiwa katika "a man in the space,a ball in the space" ni seme ni goli nzuri sana ambalo limetokana na kazi nzuri ya ajibu
kwako Jesse!
 
Kashasha.. Sio nshomile?! Maana kwa ujuvi?! Htr.. Ana opinion kwa kila jambo analoulizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…