Elections 2010 TBC waandaa wananchi kukubali matokeo, wawachafua CHADEMA!


Sasa kama 50% ya Usalama wa Taifa ulikuwa unaripoti kwa Silaa, kwanini hao 50% hawakuzuia huo wizi? Au hiyo 50% ni ile ya WAMBEYA na UMBEYA tu?

Mkosaji hakosi maneno! :smile-big:
 
😛eep:Halafu ukimwangalia huyu marini hassani kama vile shoga,au waungwana bado amjalitambua hilo?huyu jamaaa wanamla kiboga kama sikosei,watangazaji wote wa TBC ni SSM.WANAUZI SANA HAWA WATU.
 
Wanazani watapata uteuzi wa mkwere,kwa hali ya sasa mkwere afanyi tena upuuzi huo.
 
Unawezaje kumchafua mtu aliye moyoni mwa watu!?
 
Sasa kama 50% ya Usalama wa Taifa ulikuwa unaripoti kwa Silaa, kwanini hao 50% hawakuzuia huo wizi? Au hiyo 50% ni ile ya WAMBEYA na UMBEYA tu?

Mkosaji hakosi maneno! :smile-big:
Kati ya hao 50% hakuwemo Rashid Othman na genge lake la mafisadi ndani ya uwt.
 
guys, we are takling much. its time for action. we are sure that our votes have been stolen. why should we decide what to do. remember hakuna haki bila damu kumwagika, afterall i have nothing to loose coz maisha ninayoishi ni kama vile nimekufa zamani. amkeni ndugu zangu twendeni tukapambane kwa ajiri ya vizazi vijao, babu zetu walifanya hivyo thus why we upo hapo. amani bila haki ni sawa na bure. angalieni kenya walivyofanya heshima sasa ipo juu. amkeni kumekucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…