Baada ya bunge la katiba kuhairishwa hadi baadaye saa 12 jioni, tbc badala ya kuwachambulia wanachi kinachoendelea bungeni wameweka kipindi kinachoonyesha wenzetu huko south amerika.
Bora hata wangeweka kipindi cha kilimo kwani ndiyo msimu wa kulima sasa.