Nilikusudia kusema " kwa dhati" badala ya "Shari"

Ukweli TBC wana afadhali sana kulingasha na Channel Ten, Channel Ten wanatia aibu. Wameamua kuwa chombo cha propaganda badala ya kuwa chombo cha habari. Ikianza tu taarifa ya habari ujue maneno ya kwanza yatakuwa "mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi" hayo ndio maneno yao ya kwanza siku zote. Basi atapambwa hapo dak hata 20, ukisikia chadema ujue ni mashitaka hakuna cuf wala chama kingine. Watuambie kama imekuwa m/c ya propaganda ya ccm na wamejitoa kuwa chombo cha habari. TBC pamoja ya kuwa ndiye mwajiri wao, wanajitahidi sana.
hivi channel ten ni television ya nani jamani? Mimi zamani nilikuwa nafikiria ni ya jenerali ulimwengu. Lakini nikiangalia mtizamo wa ulimwengu na mwelekeo wa hiyo television, sioni kabisa uhusiano. Hebu nifumbueni macho wakuu ni tv ya nani hii?
Nasikia imenunuliwa na Rostum.Hivi Channel ten ni television ya nani jamani? Mimi zamani nilikuwa nafikiria ni ya Jenerali Ulimwengu. Lakini nikiangalia mtizamo wa Ulimwengu na mwelekeo wa hiyo television, sioni kabisa uhusiano. Hebu nifumbueni macho wakuu ni TV ya nani hii?
Ukweli TBC wana afadhali sana kulingasha na Channel Ten, Channel Ten wanatia aibu. Wameamua kuwa chombo cha propaganda badala ya kuwa chombo cha habari. Ikianza tu taarifa ya habari ujue maneno ya kwanza yatakuwa "mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi" hayo ndio maneno yao ya kwanza siku zote. Basi atapambwa hapo dak hata 20, ukisikia chadema ujue ni mashitaka hakuna cuf wala chama kingine. Watuambie kama imekuwa m/c ya propaganda ya ccm na wamejitoa kuwa chombo cha habari. TBC pamoja ya kuwa ndiye mwajiri wao, wanajitahidi sana.
Dalili ya mvua? ...............