TBC wameshindwa kuonesha mechi vzr.

TBC wameshindwa kuonesha mechi vzr.

Jbst

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
1,971
Reaction score
4,085
Ngoja nitafute sana hela,Kweli TBC sio channel ya mpira.

Hawa jamaa sio wakuwategemea kabsa, naangalia hapa mechi ya England vs Wales inakatakata tu mpira hauangaliki kabisa.

Jamaa game za maana hawaomeshi wanachojua wao ni kukupeleka moja kwa moja uzinduzi wa madaraja na upuuzi wa aina hiyo

TBC ninyi ni watu wa hovyo sana
 
Kwani lini tangu haya mashindano yaanze waliwahi kuonesha vizuri mechi zao?
 
Acha kulia Lia mkuu , nenda vibanda umiza , Sasa Toka lini television ya Taifa iwe maalumu Kwa ajili ya mpira
 
Ngoja nitafute sana hela,Kweli TBC sio channel ya mpira.

Hawa jamaa sio wakuwategemea kabsa, naangalia hapa mechi ya England vs Wales inakatakata tu mpira hauangaliki kabisa.

Jamaa game za maana hawaomeshi wanachojua wao ni kukupeleka moja kwa moja uzinduzi wa madaraja na upuuzi wa aina hiyo

TBC ninyi ni watu wa hovyo sana
Wala hata hutafuti hela nyingi , ni hela ndogo tu , kifurush cha World cupi 56000 , dishi na vikolokolo vyake 59000
 
Back
Top Bottom