Wala hata hutafuti hela nyingi , ni hela ndogo tu , kifurush cha World cupi 56000 , dishi na vikolokolo vyake 59000Ngoja nitafute sana hela,Kweli TBC sio channel ya mpira.
Hawa jamaa sio wakuwategemea kabsa, naangalia hapa mechi ya England vs Wales inakatakata tu mpira hauangaliki kabisa.
Jamaa game za maana hawaomeshi wanachojua wao ni kukupeleka moja kwa moja uzinduzi wa madaraja na upuuzi wa aina hiyo
TBC ninyi ni watu wa hovyo sana