Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
UTV kuna mechi kati ya Brentford na wolves lkn wakat mechi inaendelea tukapitishiwa maandish chini yakieleza kuwa mechi itaendelea ZBC2 ili pale UTV waendelee na taarifa ya habar.
Nisichojua ni kuna ushirikiano gani kati ya Azam na ZBC na mpaka kupelekea azam kuipa nafas kubwa kwenye matukio kwa mfano sasa hv kuna afcon ambayo inaonyeshwa na runinga mbili tu hapa bongo ambazo ni utv na zbc2 na hata azam akiwa na matukio mengi km ya mpira mengine yanarushwa na ZBC 2.
Nadhan TBC wanapaswa kujitathmin walau nafas ya zbc2 wangekuwa wao kwa sabab TBC wamekuwa wa hovyo sana na lait km wangepata nafasi waliyokuwa nayo zbc2 pale azam labda wangejiongezea ushawish.