TBC wapo kwenye Mkutano wa Zari na Waandishi wa Habari!

TBC wapo kwenye Mkutano wa Zari na Waandishi wa Habari!

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Inaweza ikawa sio jambo la kushangaza kwa nchi yetu, lakini ni kwanini kwenye mambo ya maana hawahudhurii mf. Mikutano ya Siasa na maandamano ya vyama vya upenzani, n.k?

Screenshot_20240321-143518.jpg

TELEVISION YA TAIFA MNAFELI PAKUBWA SANA!
 
Kwani wao ni Nani wasifanya kinachofanyqa na media kubwa

Tbc inatafuta kufatiliwa Kama vyombo vingine ndio maan inakwenda Hadi kweny press ya harmorapa
 
TBC Hawawezi kwenda kwenye mikutano ya siasa ya chama cha upinzani, hiyo ni sawa na Israel kumpaa msaada wa Silaha Hamas. AKA Suicide
 
Tbc wanayo matawi mengine ya matangazo kwa ajili ya makundi maalum/vijana hivyo taarifa hiyo itaenda huko(radio Bongo fm)
 
Wanajuwa wabongo wanapenda mambo hayo...umbea umbea

Ova
 
Back
Top Bottom