TBC wapo kwenye Mkutano wa Zari na Waandishi wa Habari!

Kwani wao ni Nani wasifanya kinachofanyqa na media kubwa

Tbc inatafuta kufatiliwa Kama vyombo vingine ndio maan inakwenda Hadi kweny press ya harmorapa
 
TBC Hawawezi kwenda kwenye mikutano ya siasa ya chama cha upinzani, hiyo ni sawa na Israel kumpaa msaada wa Silaha Hamas. AKA Suicide
 
Tbc wanayo matawi mengine ya matangazo kwa ajili ya makundi maalum/vijana hivyo taarifa hiyo itaenda huko(radio Bongo fm)
 
Wanajuwa wabongo wanapenda mambo hayo...umbea umbea

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…