TBC waweke hadharani Risiti ya Malipo waliyolipwa kwa kuonesha moja kwa moja Mkutano Mkuu wa CCM huko Dodoma

TBC waweke hadharani Risiti ya Malipo waliyolipwa kwa kuonesha moja kwa moja Mkutano Mkuu wa CCM huko Dodoma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili likifanyika litaondoa manung'uniko ya Wananchi kuhusiana na Mali hii ya Umma kutumika kama Chombo cha CCM.

Enzi za Chama kimoja kutumia rasilimali za Taifa kwa manufaa binafsi si tu kwamba zimekwisha, bali hali hiyo ikiachwa iendelee inaliaibisha Taifa zima na kufedhehesha demokrasia.
 
Kwa Tanzania hilo bado sana,tibisi ni haiko huru kiasi hicho, then watangazaji wanainjoi kurepoti maana majoliti yao ni wanachama na wapenzi wachama
 
Hata polis hudhani wao wameajiriwa na ssm...TBCiii huwez kuwatenganisha na ssm kwa namna yoyote ile haya ajira zao lazma uwe kada wa ssm..over.
 
Vyombo vya habari vingi vinaonesha . Mfano uhai tv ya Azam
 
Hizo zingine za binafsi zinaweza kuonyesha hata bure maana ni za makada wao , wala hatuna ugomvi nao , lakini TBC ni mali ya Umma
hahahahahaha mkuu sasa si unaona ata siku hizi bunge tunalipata live bila chenga.
 
Hili likifanyika litaondoa manung'uniko ya Wananchi kuhusiana na Mali hii ya Umma kutumika kama Chombo cha CCM .

Enzi za Chama kimoja kutumia rasilimali za Taifa kwa manufaa binafsi si tu kwamba zimekwisha , bali hali hiyo ikiachwa iendelee inaliaibisha Taifa zima na kufedhehesha demokrasia .
Hao ni makada wa ccm,tbc ni jina tu
 
Hizi ndo siasa za kizamani hizi..

Baada ya Magufuli kuondoka nilifikiri tunaachana na siasa hizi...

Still bado wengine hamuelewi
 
Chademu nyie mbona hamuoneshi tofauti yeyote ktk operations zenu? jikagueni kwanza kabla ya kuangalia inzi
 
Mkutano wa CCM ni public interest
Huwezi fananisha na mkutano wa CHAUMMA..
Hilo umelitoa kwenye katiba ipi ? tukitaka haki iwepo ni lazima vyama vyote vya siasa viwekwe kwenye mizani moja , kwa maana ya kuwa na haki sawa , vinginevyo basi turuhusu na hela ya nchi kuliwa na ccm kwa vile wana public interest
 
Back
Top Bottom